Saturday, March 19, 2016

Rapa Prezzo Wa Kenya Kapima H.I.V, Kajitosa Kushare Haya Majibu Yake Na Mashabiki Zake.

Kama ulishawahi kujiuliza juu ya afya ya Prezzo wa Kenya kutaka kujua kuwa anagonjwa hatari kwa sasa duniani la HIV basi staa huyu amewatoa mashaka baad aya majibu ya kipimo cha H.I.V kuonyesha yuko Negative.
Rapa Prezzo aka Jackson Makini Ngechu aka CMB Prezzo, ameweka majibu yake mtandaoni kama ushahidi kwa wale waliosema kukonda kwake kumesababishwa na gonjwa hilo.

No comments:

Post a Comment