Saturday, March 19, 2016

Picha,Mwana Dada Jhené Aiko Amefunga Ndoa Na Producer Dot Da Genius.


Jhené Aiko amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu producer Dot Da Genius. Aiko mevalishwa pete ya ndoa kwenye siku yake ya kuzaliwa wakati anafikisha miaka 28.

Dot Da Genius aka Oladipo Omishore aliweka picha yao wakivalishana pete hio ya ndoa kwenye harusi yao ndogo.
“Happy Birthday to my gorgeous wife. Happy to be on this quest w/ you!!!”

Jhene Aiko ana mtoto wa miaka saba anayeitwa Namiko Love aliyempata na kaka yake msanii wa rnb Omarion ‘O’Ryan’.

No comments:

Post a Comment